Bila shaka si kosa la lugha, ikiwa lugha fulani itatumika na majambazi, waasi au watu wowote waovu. Lugha ni chombo tu cha mawasiliano, waweza itumia kumbembeleza mke wako asikukimbie, na kinyume ...
Matumizi ya lugha ugenini kwa kawaida hubadilika. Na hii ni changamoto hasa kwa vijana wanaokulia ughaibuni. Vijana wanaotoka Afrika Mashariki nao wana changamoto za matumizi ya lugha ya Kiswahili ...
Burudani la Karibuni linakuletea kiswahili kina wenyewe ambapo mtaalamu wa Kiswahili anaelezea mafungamano ya Lugha na Utamaduni kwa namna mbali mbali,lakini pia mgeni wa wiki mara hii anatokea Bremen ...
Mja anayeweza kuzungumza vizuri zaidi ya lugha moja hupata faida nyingi katika maisha ya kila siku na kazini. Waja wanaofahamu lugha nyingi hujifunza mengi kuhusu tamaduni nyingine. Wana uelewa wa ...
Afrika Kusini ni taifa lenye historia tata na yenye rangi nyingi za kitamaduni. Hili ndilo taifa pekee duniani ambalo katiba yake inazitambua rasmi lugha 11 kama lugha rasmi za taifa. Profesa Thandiwe ...
Kiswahili kinazungumzwa na zaidi ya watu milioni 200 afrika mashariki na kwenye makala haya ya changu chako,chako changu ,Florence Kiwuwa amefanya majadiliano na wanafunzi katika chuo kikuu cha ...
Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau kwa wepesi, iwapo tutazingatia mambo kadhaa ikiwemo lugha na matumizi yake, tabia, utu, utamaduni, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results