Mamlaka ya Saudia mjini Kampala imewaonya raia wake nchini Saudia dhidi ya kuwaajiri mayaya kutoka Uganda. Onyo hilo linajiri baada ya kanda za video za CCTV kumuonyesha Jolly Tumuhiirwe,22,akimtesa ...
Maelezo ya sauti, Haba na Haba: Kuna haja ya kurasmisha kazi ya mayaya Tanzania? Familia nyingi, hasa mijini, zimekuwa zikiwatumia watu wa kufanya kazi majumbani au yaya. Katika haba na Haba wiki hii ...