Vatican imesema Papa Francis bado yuko katika hali mahututi, huku vipimo vya damu vikionyesha kuwa ameanza kuonyesha dalili ...
Azam ndio imekuwa ya kwanza kufunga bao katika mchezo wa leo kupitia kwa Gibril Sillah katika dakika ya pili ya mchezo ...
Kwa mujibu wa Utafiti wa Ajira na Mapato katika Sekta Rasmi Tanzania wa mwaka 2022/23, mtu mmoja kati ya wawili walio katika ...
Dar es Salaam. Wajasiriamali wadogo nchini wametakiwa kusimamia vyanzo yao vya mapato na kujihusisha na mikopo endelevu ...
Mnyeti amesema kwa kutambua hilo, leo katika ziara yake mkoani Tanga, Rais Samia Suluhu Hassan atakabidhi boti 30 na mitumbwi ...
Amesema kifo cha binti yake kimempa maswali mengi huku akiwa hajui kimesababishwa na nini hasa kutokana na mazingira ...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Global E-Waste Monitor ya mwaka 2019, dunia ilizalisha tani milioni 53.6 za taka za kielektroniki ...
Kauli ya Rais Samia inakuja miezi saba, tangu alipotengua uteuzi wa Makamba katika nafasi ya Wizara ya Mambo ya Nje na ...
Mbali na waliofukuzwa, wanafunzi 19 wamesimamishwa kuendelea na masomo hadi Mei 5, 2025 huku wengine 45 wakisimamishwa kwa ...
Muda mfupi ujao Simba na Azam FC zitaumana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili ...
Taarifa hiyo imeeleza sababu ya mtalii huyo kupotea ni kutokana na upepo mkali na mawimbi yaliyosababisha boti kuelea.
Amesema awamu ya kwanza mwaka 2023 walivuna matikiti 11,000 kutoka ekari tisa walizokuwa wamelima na kupata Sh22 milioni ...